kanjanja

Friday, May 18, 2012

Image of 50 CENT HOSPITALINI.
Rapper 50 Cent mwenye umri sawa na Afande Sele (Miaka 36) amelazwa hospitali huko Marekani ambapo mshkaji wake wa karibu Dj Drama amesema jamaa anasumbuliwa na tumbo “stomach virus” na sio ishu kubwa sana, bado mipango mingine iko palepale ikiwemo tarehe atakayoiachia mixtape yake mpya ya “The Lost Tape” May 22 mwaka huu.
Posted by kanjanja at 4:46 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Archive

  • ▼  2012 (23)
    • ►  June (3)
    • ▼  May (16)
      • KANISA LA TAG ZANZABAR LACHOMWA MOTO KATIKA VURUGU...
      • POLOSI WAKITAWANYA WANDAMANAJI
      • MANDAMANO ZNZ KUZUA TAAFULANI USIKU WA KUAMKIA JANA
      • Nilivyoona picha hii nilijiuliza hawa watoto wal...
      • Rapper 50 Cent mwenye umri sawa na Afande Sele (...
      • ONA MASHABIKI NA WACHEZAJI WA SIMBA WANAVYOMLIL...
      • Rapper Jay Z amejitokeza hadharani na kuwa wa kw...
      • Tamasha kubwa la caribbean beat ambalo linafanyi...
      • Aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame 2012,...
      • HAHAAHATARIIII
      • PYTHON VS CROCODILE
      • NYARAKA ZA OSAMA BIN LADEN KUCHAPISHWA LEO
      • RAIS JAKAYA KIKWETE KUWAJIBISHA MAWAZIRI WALIOKIUK...
      • PREZZO NDANI YA BBA
      • PUNGA
      • Kanjanja
    • ►  April (4)

About Me

My photo
kanjanja
View my complete profile
Simple theme. Powered by Blogger.